Matthew 27:12-14

12 aLakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. 13 bNdipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” 14 cLakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.

Copyright information for SwhNEN